Skip to main content

Posts

A research proposal is a concise and coherent summary of your proposed research. It sets out the central issues or questions that you intend to address. It outlines the general area of study within which your research falls, referring to the current state of knowledge and any recent debates on the topic. It also demonstrates the originality of your proposed research. The proposal is the most important document that you submit as part of the application process. It gives you an opportunity to demonstrate that you have the aptitude for graduate level research, for example, by demonstrating that you have the ability to communicate complex ideas clearly, concisely and critically. The proposal also helps us to match your research interest with an appropriate supervisor.
Recent posts

Kaambali na hofu

‪“Hofu huathiri mzunguko mzima wa maisha ya mtu, huathiri moyo, viungo vya ndani ya mwili na hata mfumo mzima wa fahamu, sijawahi kuona mtu aliyekufa kwa kufanya kazi kupitiliza “overwork” lakini wengi sana wamekufa kwasababu ya hofu” anaandika Chris Mauki, Mtaalamu wa Saikolojia Chuo Kikuu cha Dar es salaam
Vitunguu ni moja ya zao la bustani linalopendwa na kutumiwa kwa wingi sana si hapa nchini tu bali duniani kote kwa ujumla. Linachukua nafasi ya pili baada ya nyanya. Kitunguu kinatumika katika kachumbari, kama kiungo kwenye kitoweo kama vile Samaki, nyama, mboga za mahani n.k. Majani ya vitunguu hutumika kama mboga. Vitnguu pia hutumika kuandalia supu. Vitunguu hustawi maeneo yasiyo na mvua nyingi sana, yenye baridi kiasi wakati wa kiangazi na maeneo yasiyo na joto kali pamoja na ufukuto wa ukungu wakati wa kukomaa kwa vitunguu. Vitunguu hustawi vizuri kwenye udongo wenye rutuba ya kutosha, unaoruhusu mizizi kupenya na unaohifadhi unyevu kama vile udongo wa nusu mfinyanzi nusu tifutifu. UPANDAJI WA MBEGU ZA VITUNGUU KWENYE KITALU. Hapa kwetu Tanzania upandaji huanza mwezi March hadi Mei kutegemea na msimu wa kilimo ulivyo. Hivyo kilimo hiki huanza mara baada ya mvua kubwa za masika kumalizika. Kipindi cha kiangazi na baridi huruhusu ukuaji mzuri wa vitunguu.

R.I.P