“Hofu huathiri mzunguko mzima wa maisha ya mtu, huathiri moyo, viungo vya ndani ya mwili na hata mfumo mzima wa fahamu, sijawahi kuona mtu aliyekufa kwa kufanya kazi kupitiliza “overwork” lakini wengi sana wamekufa kwasababu ya hofu” anaandika Chris Mauki, Mtaalamu wa Saikolojia Chuo Kikuu cha Dar es salaam
Comments